Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Please explain in details are these data in Zimbabwe Dollars?....Doubt Equatorial Guinea and South Africa, is per capital income or......?
Tanzania imeendelea sana hebu angalieni foleni mjini Dar es Salaam na magorofa yanazidi ongezeka!
Pease advise are rhese data in Zimbabwe Dollars? is it per capital income?
Tanzania imeendelea sana hebu angalieni foleni mjini Dar es Salaam na magorofa yanazidi ongezeka!
Zawadi Ngoda,
..Slaa hakuwa anazungumzia utafiti uliofanywa na World Bank.
..unachotakiwa kufanya ni kujua Dr.Slaa alikuwa anatumia utafiti wa taasisi ipi, na kama alinukuu vibaya utafiti huo.
..vilevile unaweza kupinga mambo kama njia zilizotumiwa na taasisi husika ktk kufikia conclusions zao.
..kwa upande mwingine sidhani kama tunahitaji taarifa za utafiti kujua kwamba nchi yetu ina matatizo, na umasikini wa kutupwa, na serikali ya CCM imekuwepo madarakani kwa miaka zaidi ya 30.
Mzee hivi umesoma Shule? umewahi andika literature review kwenye research? Unajua umuhimu wa citation? kama unayajua haya huwezi kuja na simple conclusion kama yako. Kwani inategemea na source aliyotumia, Sasa huwezi kuconclude bila kutafuta reference aliyotumia.Heshima yangu kwa Mh Slaa sasa hivi ndio imetoweka kabisa. Sidhani kama baada ya maelezo na uthibitisho wangu hapa, kuna mtanzania yeyote yule atamuamini, hasa katika kumpa kura na kushika nafasi kubwa ya URAIS.
Nanukuu maneno yake: "Tanzania inashika nafasi ya 2 au ya 3 kwa umasikini Afrika". Maneno hayo kayasema bila kutoa chanzo (source) ya kuthibitisha uhakika wa maneno hayo.
Afrika ina ina nchi 52, maana yake sisi ni wa 49 au 50. Ukitembelea World Rankings and Records, unapata takwimu nyingine kabisa. Hivi ndivyo huo mtandao unavyoipa nafasi Tz.
1. Equitorial Quinea............................dola $ 30 200
2. Botswana...................................$ 15900
3. Gabon..........................................$ 14900
4. Libya.........................................$ 14900
6. Afrika kusini.................................$ 10000
.............................................
..................................................
27. Ghana.......................................$ 1500
................................................

30. TANZANIA...............................$ 1400
.................................................
...............................................
42. Malawi .....................................$ 800
....................................................

49. Liberia.....................................$ 500
..............................................
52. Zimbabwe...........................$ 400
Swali. No 49 ni nafasi inayochukuliwa na nchi gani? Hata swali hilo kama Mh Slaa akishindwa kujibu, sasa huyo atakuwa zaidi ya kilaza.
Nimepitia mitandao tofauti 10 maarufu hapa duniani, toka benki kuu ya dunia mpaka paris club, lakini hakuna mtandao uliyoiweka TANZANIA chini ya No 36 ktk Afrika.
Sasa huyu KILAZA WENU, hiyo Nafasi ya 2 au 3 aliipata wapi? Au ndio ameamua kuchukua takwimu za miaka ya 1980-95? Amepitwa na wakati kabisa, tena hatufai kabisa.
Hatutaki raisi muongo na kama si muongo basi haujui kabisa uchumi. Mimi sijui lipi la kweli kwake kati ya hayo mawili.
Ninachojua ni kimoja, iwe la kwanza au la pili ndio linaendana na Mh Slaa, basi hafai kuwa Rais katika kipindi hiki ambapo uchumi ni ISSUE.
Mzee hivi umesoma Shule? umewahi andika literature review kwenye research? Unajua umuhimu wa citation? kama unayajua haya huwezi kuja na simple conclusion kama yako. Kwani inategemea na source aliyotumia, Sasa huwezi kuconclude bila kutafuta reference aliyotumia.
Zawadi na wenzio wenye falsafa za udaktari unaozidi wengine MNA AKILI NYINGI SANA ZA KUFIKIRI. Mbona hamjamshauri mgombea wa ccm ILI AWE NA DATA ILI KUUSHAWISHI UMMA KUWA TZ SIO MASKINI? Au hamjui kuwa yeye hajui Tz ni maskini au sio?
Kwa PHD ZENU MTANDAO UNA HABARI ZOTE KWA KINA KUHUSU NINYI WENYEWE KULIKO MNAVYOJIFAHAMU.
Kwa hili poleni sana.
Sikuwahi kumuona juha ana akili kuliko Zawadi anayeweza kufungua tovuti mbalimbali ili ajue nchi yake inashika nafasi ya ngapi kwa "ufukara". Ila kwa kuwa kawaida ya waongo na vipofu ni; BLACK=WHITE & DARK=LIGHT, MEREMETA=USALAMA WA... KAGODA= HATUJUI...DOWANS=? IPTL=? TIKITIKS=? KOTEKINA=? EPA=? URANIUM=VYANDARUA MIKATABA YA MIGODI=?^...
TUNAWAKUBALIA TU.
Na uko ulikotoa report yako wanasema "Tanzania is in the bottom 10% of the world's economies in terms of per capita income. The economy depends heavily on agriculture, which accounts for more than one-fourth of GDP, provides 85% of exports, and employs 80% of the work force."
Heshima yangu kwa Mh Slaa sasa hivi ndio imetoweka kabisa. Sidhani kama baada ya maelezo na uthibitisho wangu hapa, kuna mtanzania yeyote yule atamuamini, hasa katika kumpa kura na kushika nafasi kubwa ya URAIS.
Nanukuu maneno yake: "Tanzania inashika nafasi ya 2 au ya 3 kwa umasikini Afrika". Maneno hayo kayasema bila kutoa chanzo (source) ya kuthibitisha uhakika wa maneno hayo.
Afrika ina ina nchi 52, maana yake sisi ni wa 49 au 50. Ukitembelea World Rankings and Records, unapata takwimu nyingine kabisa. Hivi ndivyo huo mtandao unavyoipa nafasi Tz.
1. Equitorial Quinea............................dola $ 30 200
2. Botswana...................................$ 15900
3. Gabon..........................................$ 14900
4. Libya.........................................$ 14900
6. Afrika kusini.................................$ 10000
.............................................
..................................................
27. Ghana.......................................$ 1500
................................................
..................................................
30. TANZANIA...............................$ 1400
.................................................
...............................................
42. Malawi .....................................$ 800
....................................................
..................................................
49. Liberia.....................................$ 500
..............................................
52. Zimbabwe...........................$ 400
Swali. No 49 ni nafasi inayochukuliwa na nchi gani? Hata swali hilo kama Mh Slaa akishindwa kujibu, sasa huyo atakuwa zaidi ya kilaza.
Nimepitia mitandao tofauti 10 maarufu hapa duniani, toka benki kuu ya dunia mpaka paris club, lakini hakuna mtandao uliyoiweka TANZANIA chini ya No 36 ktk Afrika.
Sasa huyu KILAZA WENU, hiyo Nafasi ya 2 au 3 aliipata wapi? Au ndio ameamua kuchukua takwimu za miaka ya 1980-95? Amepitwa na wakati kabisa, tena hatufai kabisa.
Hatutaki raisi muongo na kama si muongo basi haujui kabisa uchumi. Mimi sijui lipi la kweli kwake kati ya hayo mawili.
Ninachojua ni kimoja, iwe la kwanza au la pili ndio linaendana na Mh Slaa, basi hafai kuwa Rais katika kipindi hiki ambapo uchumi ni ISSUE.
Mimi nitajuli wapi alikotoa data zake? Siko kwenye timu yake ya Uchumi. Ukiangalia website tofauti tofauti zote zinakupa data tofauti kwa mfano aliyotoa The Dreamer au hii hapa wanasema Gross National Per Capita ni $ 370. Watu wenye jibu sahihi ni NBS na BoT.NA ALIKOTOA Mh Slaa kunasemaje? Na ni wapi? au ni siri?
maneno hayo aliyasema wapi , tuanze hapo kwanza, na alikua anazungumzia nini ?