Hi Mtazamaji
nimekupata nahuhakika nimeinstal kwenye right port tower is HP Pavilion model t741.uk,nina cd ya OS lakini tatizo ni image on the screen.hivyo siwezi fanya lolote
Mkubwa kama ni Hp huwa nawapendea kitu kimoja wana website yao ina support information nzuri sana na iko friendly .
Cheki hii link
Monitor or Video Card Troubleshooting, Tips, and Information HP Pavilion t741.uk Desktop PC - HP technical support (United Kingdom - English).
- Naona kwa maelezo ya hawa jama pia monitor inaweza kuwa tatizo pia. Kama sio minitor ilikuwa originally designed kwa pc.
Tatizo kubwa ulilonalo ni hiyo ngoma inaonekana ina tatizo zaidi ya moja.
Ila kama ulitoa gforce card bado matatizo au tatizo likabaki vile vile hiyo inaweza kuwa proof kuwa kadi uliyotoa sio tatizo. na nahisi unatatizo la
Hardware na sio
Software.
Kama taa za keyboard kweli haziwaki kabisa Motherboard inaweza kuwa ina tatizo. Sababu ukibonyeza power buuton kitu cha kwanza kufanyika ni BIOS (Basic
Input
Output
System) ni kufanya POST( Power on Self Test)
Na kazi ya POST ni kuhakikisha hardware zote za muhimu ( Keyboard ) zinafanya kazi vizuri
http://www.basicinputoutputsystem.com/
Vilevile Katika kujaribu kujua nini hasani tatizo u might want to know the
BOOT UP process. google it inaweza kukupa mwanga.
Altenatively
kujua kama motherboard imekufa jaribu kutoa CPU. then washa PC.
Ukitoa CPU ukawasha na usisikie beep basi "mama ubao" atakuwa marehemu.
Unaweza kujaribu kutoa
RAM zote pia uone ukiwasha bila RAM inakuwaje.
Note kuna aina ya RAM tofauti tofauti na kutumia type ya RAM isiyofaa kunaweza kusababisha mauza uza Hakikisha na google ujue RAM unazotomia zinaruhusiwa na motherboard husika.
Thanks kwa changamoto umenifanya nijikumbushe mambo ya boot up process
Good luck