Umepata?Habari wandugu, ninashida na gearbox ya benz 911, ya kizaman kiasi chake kama kuna mtu anajua wap naweza kupata tafadhali nichek 0739378451
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo Mkoa gani
Nina gear box yangu ipo hapo Dar ngoja nicheki na mtu niliyemwachia kama bado ipo
Sawa utanijulisha, namba ya simu nimekupa pmNina gear box yangu ipo hapo Dar ngoja nicheki na mtu niliyemwachia kama bado ipo