Gear box oil ya pajero mini (snoopy edition)

Gear box oil ya pajero mini (snoopy edition)

Firewall

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2012
Posts
272
Reaction score
61
Habari,
Naomba kujua ni gear box oil gani ni kwa ajili ya pajero mini snoopy edition. Nataka nibadili ila deep stick haijaandikwa chochote. Msaada kwa ushauri au source ambayo naweza pata uhakika.

9DEB92C2-BD38-4B33-8862-9459A4814DBC.jpeg

Ahsante
 
Mwaka wa gari..!?
Transmission ni Auto au Manual..!?
 
Mwaka wa gari: 2002
Transmission: Automatic
 
Ingia google search utafahamu ni aina gani ya gearbox oil inatakiwa itumike. Pia YouTube inaweza kukusaidia.

Kwanini mnanunua magari bila kusoma instruction manuals zake?

Unatakiwa kabla ya kununua ama kuagiza gari ingia kwenye mitandao upate sifa za gari, aina ya oil za kutumia kwenye engine, gearbox, nk.
 
Back
Top Bottom