Ingia google search utafahamu ni aina gani ya gearbox oil inatakiwa itumike. Pia YouTube inaweza kukusaidia.
Kwanini mnanunua magari bila kusoma instruction manuals zake?
Unatakiwa kabla ya kununua ama kuagiza gari ingia kwenye mitandao upate sifa za gari, aina ya oil za kutumia kwenye engine, gearbox, nk.