Gear box recommended oil and service lenght

Ibanda1

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2015
Posts
723
Reaction score
1,125
Habari za majukumu ya ujenzi wa taifa,
Kumekuwa na mjadala hapa uliokosa majibu kutokana na uelewa tofauti wa mafundi.

Tumepata kigugumizi juu ya gear box oili gani inafaa kwenye gari aina Premio ( 1,490 cc) japo hili tumelipatia ufumbuzi kwa kuangalia deep stick lakini utata umebaki kwenye kujua tunatakiwa kumwaga hii oili baada ya kilomita ngapi?

Ambapo baadhi ya mafundi wanasema kila baada ya kilomita 30,000 na wengine wanasema kila baada ya kilomita 9,000 tu. Nalileta kwenu wanajamvi mnisaidi, natanguliza shukrani.
 
Aliakwambia 9000 amekudanganya
 

Gari haina manual book?
 
Kama ni original ya Toyota 50,000 mpaka 100,000 depends na quality utakayotumia ila kunaweza kukawa kuna upungufu au service akasababisha ubadilishe mapema.
 
Kuanzia km 30,000 iinafaa kubadilisha hata ukifikisha mpaka 50,000 haina shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…