Gear box ya Passo

Gear box ya Passo

Butiyangu

Senior Member
Joined
May 19, 2018
Posts
123
Reaction score
168
Nahitaji Gear box ya gari aina ya passo cc990 ina piston 3 km kuna mt anayo anicheck kwa namba 0713851751
 
nakushauri hata kama hutaki; acha kuendesha gari yenye piston 3, huo ndio ushauri wangu! itakusumbua sana na hata raha ya gari hutaiona!
 
mkuu kama umekosa gearbox ya passo funga hata ya powertiller zinaingiliana.
 
Back
Top Bottom