A adelinus Member Joined Jan 22, 2018 Posts 9 Reaction score 5 Jan 31, 2018 #1 Naomba ushauri. Je Gearbox ya GX110 inaweza fanya kazi kwenye gari ya VVTI HIACE injini yake ni 1TR. Mwenye uzoefu na mambo haya naomba majibu.
Naomba ushauri. Je Gearbox ya GX110 inaweza fanya kazi kwenye gari ya VVTI HIACE injini yake ni 1TR. Mwenye uzoefu na mambo haya naomba majibu.