RIC WA KISHETI Member Joined Jun 30, 2015 Posts 38 Reaction score 14 May 29, 2024 #1 Wasalaam waungwana. Kwa unyenyekevu mkubwa sana, ninapenda kuwasilisha ombi langu rasmi la kuhitaji msaada wa kupata Gear box ya Volkswagen Polo 2008 ABA-9NBUD Namba ya Gearbox ni: V W AC AW5 096 321 107 AL SI 9CU JK Nipo Dar es Saalam. Ninahitaji kwa ajili ya kuinunua. Natanguliza shukrani
Wasalaam waungwana. Kwa unyenyekevu mkubwa sana, ninapenda kuwasilisha ombi langu rasmi la kuhitaji msaada wa kupata Gear box ya Volkswagen Polo 2008 ABA-9NBUD Namba ya Gearbox ni: V W AC AW5 096 321 107 AL SI 9CU JK Nipo Dar es Saalam. Ninahitaji kwa ajili ya kuinunua. Natanguliza shukrani
The Knowledge Seeker JF-Expert Member Joined Apr 13, 2019 Posts 3,418 Reaction score 5,028 May 29, 2024 #2 Ni DM mkuu weka na namba kila kitu
Chance ndoto JF-Expert Member Joined Mar 8, 2017 Posts 4,363 Reaction score 10,265 May 30, 2024 #3 800,000 ninayo.