Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Geely Auto wamezindua Geome EV hatchback itakayokuja katika series mbili na trims tano, kuanzia bei ya $9,900 hadi $14,000 na zikiwa na CLTC range ya kilometa 310 hadi 410.
Tukianza na ya 310 km, hii ina battery la 30 kWh kutoka kampuni la CATL, na inatoa power ya 78 hp.
Hii kubwa ya 410 km yenyewe ina battery la 40 kWh, na horsepower 114.
Zote mbili zina maximum speed ya 140 km/h, na acceleration ya 0-50km/h ni 3.9 sec. Na battery zote mbili zina support fast charge hadi ya 30% to 80% kwa dakika 21 tu.
Pia zinaruhusu 3.3 kW Vehicle to Load (V2L) kwamba umeme ukikatika unaweza kuitumia kama power bank kuwasha baadhi ya appliences nyumbani kwako.
Kuhusu advanced driving assistance na usalama, hii itakuja na adaptive cruise control, uwezo wa kudetect alama za barabarani, warning wndapo utahama barabara, na automatic emergency braking.
Ndani kuna 8.8 inch LCD instrumental pannel kwaajili ya dereva, itakayomuonesha taarifa zote za muhimu wakati anaendesha.
Katikati kuna central control screen yenye ukubwa wa inch 10 au inch 15 kutegemea na trim utakayonunua.
Pia kuna vitu kama 50W wireleaa fast charging, voice assistant, OS ya Geely (inaitwa Galaxy Flyme Auto yaani kama Android Auto au CarPlay ya Apple).
Kingine wakichokitilia mkazo kwenye presentation ni kua na storage space 36 kwenye ili gari, ikiwemo 70L front trunk, 375 L resr trunk, globe box nk.
Oreorders zimeshaanza, wahi chukua kitu.