GEITA GOLD KARIBUNI MAZOEZI YA WAZI BUNJU JUMATATU&JUMANNE

GEITA GOLD KARIBUNI MAZOEZI YA WAZI BUNJU JUMATATU&JUMANNE

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Karibuni sana wachimba madini, team letu ni la kisasa na la kizungu halina mambo ya kizamani yale ya kiswahili eti kufanya mazoezi kwa kjifichaficha

Karibuni sana Mo arena kuanzia kesho jumatatu tunarudi pale baada ya jana kuendeleza uteja kwa utopolo fc

Hata mkirekodi kwenye simu au kuja na ile miwani ya ki spy na kurekodi hakuna shida,sisi ndo simba tunaenda kizungu sana

George Mpole ushindwe mwenyewe sasa kucheza na akili ya Inonga , we kuwa serious sababu yeye atakuwa kwenye show ya bongo fleva

Jumatatu na jumanne karibuni sana mazoezi ya wazi kabla ya hiyo mechi ya jumatano
 
Back
Top Bottom