tatamajuva
Member
- Sep 11, 2019
- 74
- 84
Acha uboya wewe..... angalia mapishi yetu, leo wanafundisha kuchemsha maji ya kuogaMi nimebadilisha channel naangalia WWE
Lamba ndimu kwanza ili kuondoa hicho kichefuchefu.Hii imejidhihirisha katika mechi iliyoanza hivi punde.
Zile tetesi zimejidhihirisha Leo kwamba utopolo fc imenunua mechi.
Mpira hauna ladha kabisa, mtawafanya mashabiki kutoingia uwanjani mechi zenu.
Utopolo hoyeee!!!
Na bado. Round hii tunawanunua hadi wao kama tulivyofanya kwenye Ngao.Nilijua tu mtalalamika kabla hata ya dakika ya tano [emoji23]
Maumivu yapo pale paleMi nimebadilisha channel naangalia WWE
Hii imejidhihirisha katika mechi iliyoanza hivi punde.
Zile tetesi zimejidhihirisha Leo kwamba utopolo fc imenunua mechi.
Mpira hauna ladha kabisa, mtawafanya mashabiki kutoingia uwanjani mechi zenu.
Utopolo hoyeee!!!
Mi nimebadilisha channel naangalia WWE
Hizi timu za bongo njaa sana, hatuona mpira wa maana zaidi mabumunda hovyo kabisa
ulihitaji kitu gani kitokee kwa yanga ili ufurahi,kila mtu ashinde mechi zake babuu.Hii imejidhihirisha katika mechi iliyoanza hivi punde.
Zile tetesi zimejidhihirisha Leo kwamba utopolo fc imenunua mechi.
Mpira hauna ladha kabisa, mtawafanya mashabiki kutoingia uwanjani mechi zenu.
Utopolo hoyeee!!!
Taahira la mbumbumbu fc kwenye ubora wake,,kameze wembe kama wivu umekuzidi hii ndio yanga inakupiga kokote kuleHii imejidhihirisha katika mechi iliyoanza hivi punde.
Zile tetesi zimejidhihirisha Leo kwamba utopolo fc imenunua mechi.
Mpira hauna ladha kabisa, mtawafanya mashabiki kutoingia uwanjani mechi zenu.
Utopolo hoyeee!!!