Geita Gold mmenunuliwa na Yanga

Aliyesema hivyo ni kichaa kama si mwendawazimu.

Yanga anahistoria ya kushinda kirumba,hilo Geita gold wanalijua sana ndiyo maana wakaona ili wasipigwe na mashabiki wao,wafanyie biashara Kirumba
mwanzoni walisema yanga leo hawatoki.. na blah blah kibao, sasa hivi mnasema imenunua match.. kwani siku hizi simba haina hela
 
Mateso mnayoyapata hadi huruma
 
Mkuu naomba unambie unateseka kutokea wapi, si kwa ubaya lakini
 
Hii imejidhihirisha katika mechi iliyoanza hivi punde.
Zile tetesi zimejidhihirisha Leo kwamba utopolo fc imenunua mechi.
Mpira hauna ladha kabisa, mtawafanya mashabiki kutoingia uwanjani mechi zenu.
Utopolo hoyeee!!!
Labda za mikia yenu,sisi tunaingia kuona mitetemo ya Mayele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…