Geita: Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Legal Aid yawafikia Wananchi 161,154

Geita: Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Legal Aid yawafikia Wananchi 161,154

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) Mkoa wa Geita imewafikia Wananchi 161,154 ambapo kati ya hao wanaume ni 80,810 na wanawake ni 80,344.

IMG-20250207-WA0041.jpg

Kampeni hii inatoa msaada wa kisheria BURE huku elimu ya sheria imetolewa kwenye maswala ya ardhi,ndoa, mirathi, na wosia, ukatili wa kijinsia na haki za mtoto imetolewa.

Lengo la kampeni hii ni kulinda na kukuza upatikanaji wa haki kwa wote kupitia huduma ya msaada wa kisheria nchini.

Pia soma:
 
Back
Top Bottom