Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Kijana mmoja mkoani Geita amekamatwa na wananchi akiwa na shahada 37 za kupigia kura alizokuwa akidurufu katika Stationery yake.
Haijafahamika mara moja lengo la kijana huyo lkn kamanda wa polisi mkoni humo amethibitisha na kuwa jeshi hilo linamshikiria mtuhumiwa kwa upelelezi zaidi.
Kwa mujibu wa kamanda wa polisi huyo amesema kuna watu wamekuwa wakipita katika nyumba mbalimbali na kunakiri namba za shahada za wapiga kura hasa wanawake mkoani humo.
Chanzo: Radio free Matukio saa 1 Asbh. Tarehe 30.07.2015