Enzymes JF-Expert Member Joined Feb 14, 2013 Posts 4,332 Reaction score 3,013 Aug 1, 2015 #21 Goli la mkono la Nape at work!
Kinjekitile junior JF-Expert Member Joined Apr 20, 2015 Posts 4,404 Reaction score 581 Aug 1, 2015 #22 Enzymes said: Goli la mkono la Nape at work! Click to expand... Endelea kula posho aisee
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,890 Reaction score 2,795 Aug 1, 2015 #23 Kinjekitile junior said: Ha ha ha ha sasa hivi mnatokwa povu na maneno ya kila aina mpaka mnasimama kisa mmevuta mpunga kwa mwekezaji! Click to expand... najua ndo karata yenu mliyonayo hiyo ya uwekezaji ambayo hamna proof.
Kinjekitile junior said: Ha ha ha ha sasa hivi mnatokwa povu na maneno ya kila aina mpaka mnasimama kisa mmevuta mpunga kwa mwekezaji! Click to expand... najua ndo karata yenu mliyonayo hiyo ya uwekezaji ambayo hamna proof.
Kinjekitile junior JF-Expert Member Joined Apr 20, 2015 Posts 4,404 Reaction score 581 Aug 6, 2015 #24 Wawekezaji wameota miba, sasa hv wanamwaga zege matokeo yake wakongwe wanawapisha looo
Mtu_Mzima JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 1,164 Reaction score 1,134 Aug 6, 2015 #25 Kapewa kazi na mteja wake. Kosa liko wapi? Hizo sio nyaraka za siri
Kinjekitile junior JF-Expert Member Joined Apr 20, 2015 Posts 4,404 Reaction score 581 Aug 6, 2015 #26 Mtoa uzi inabidi uje hapa useme huyo kijana yuko wapi?