Geita: Mwanafunzi wa miaka 14 ajinyonga mtini baada ya kukasirika

Geita: Mwanafunzi wa miaka 14 ajinyonga mtini baada ya kukasirika

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Mwanafunzi Saada Ngedea(14) wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Shinamwenda Mkoani Geita amefariki dunia kwa kujinyonga kwa kamba ya mti ambayo aliifunga kwenye mti.

RPC wa Geita Henry Mwaibambe amesema chanzo cha kifo ni kwamba Mwanafunzi huyo alikuwa analazimishwa kutoka Kijijini wao na kwenda Kijiji cha Shinamwenda kusoma kwa kutembea kwa miguu baada ya baiskeli yake kuharibika ndipo alipokasirika na kwenda kujinyonga.

"Chanzo cha kifo ni kwamba Mwanafunzi huyu alikuwa analazimishwa kwenda Kijiji jirani kusoma kwa miguu baada ya baiskeli yake kuharibika ndipo alikasirika na kwenda kujinyonga"
 
Geita sasa inabidi iundwe tume iwachunguze raia wanaoishi hayo maeneo maana matukio ya kujinyonga yanarindima sana Geita.
 
Yaani hata ww ukikakasilika tu unatoka mkoa uliokuwepo unaenda kujinyongea geitaaaaa
 
Mwanafunzi Saada Ngedea(14) wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Shinamwenda Mkoani Geita amefariki dunia kwa kujinyonga kwa kamba ya mti ambayo aliifunga kwenye mti.

RPC wa Geita Henry Mwaibambe amesema chanzo cha kifo ni kwamba Mwanafunzi huyo alikuwa analazimishwa kutoka Kijijini wao na kwenda Kijiji cha Shinamwenda kusoma kwa kutembea kwa miguu baada ya baiskeli yake kuharibika ndipo alipokasirika na kwenda kujinyonga.

"Chanzo cha kifo ni kwamba Mwanafunzi huyu alikuwa analazimishwa kwenda Kijiji jirani kusoma kwa miguu baada ya baiskeli yake kuharibika ndipo alikasirika na kwenda kujinyonga"
Dr. MSUKUMA analijua hili.
Si alisema ameleta maendeleo.!
 
Zamani mambo haya tulikuwa tunayasikia kutoka kabila moja tu hapa nchini. Ukisikia mtu amejinyonga, basi moja kwa moja utajuwa ni wa kutoka katika kabila hilo, na ukifuatilia utakuta kweli ni wa kutoka huko. Lakini siku hizi makabila karibu yote wanafanya jambo hili, hii inatokana na nini? Au kurithishana utamaduni kunakotokana na watu kuingiliana katika sehemu za kazi (labor mobility)?

NB: Kuingiliana = kuchangamana

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Geita uchawi
Geita kuuana
Geita kujiua/kujinyonga
What dafa K is wrong withe the society???
Ndo shida ya kuendekeza ushirikina sana.
 
Back
Top Bottom