Kabuche1977
JF-Expert Member
- Feb 10, 2009
- 564
- 228
Kumbe huyo kwenye red ni mywife wako!!Wanageita wengi leo tulifurika katika vituo vya kupigia kura, hatimaye ile zawadi yetu tuliyomwahidi raiis wetu mtarajiwa imetimia, mimi na familia yangu----FirstLady1 na wadogo zetu tumepiga kura, labda CCM waibe kura zetu.
Nilijaribu kuwauliza wapiga kura wengine, ila kusema ukweli, raisi wetu mtarajiwa watu wengi wamempigia, asubirie kuingia ikulu. Ebu watu endeleeni kutuma habari.
Go Dr.Slaa, goooooooooooooooo!
Kumbe huyo kwenye red ni mywife wako!!
Hongera mkuu, hivi huugui ugonjwa wa wivu?
Hongereni kwa kutimiza haki ya kidemokrasia.
Kabuche inasemekana huko mmetumia daftari la 2005 kuhakikiwa upigaji kura
Wanageita wengi leo tulifurika katika vituo vya kupigia kura, hatimaye ile zawadi yetu tuliyomwahidi raiis wetu mtarajiwa imetimia, mimi na familia yangu----FirstLady1 na wadogo zetu tumepiga kura, labda CCM waibe kura zetu.
Nilijaribu kuwauliza wapiga kura wengine, ila kusema ukweli, raisi wetu mtarajiwa watu wengi wamempigia, asubirie kuingia ikulu. Ebu watu endeleeni kutuma habari.
Go Dr.Slaa, goooooooooooooooo!
Zawadi tayari, na kuna ushahidi wa picha kwa asiyeamini!..au wote tubandike ushahidi kama alivyofanya Maria-Rose?Jimmyyyyy! sina wivu, na hongera pia na wewe,
vipi huko ile zawadi yenu mmeikamilisha kama tulivomwahidi raisi wetu mtarajiwa?
Mabadiliko Daima
Tuache kumuongopea Slaa. Kura ni siri ya mpiga kura mwenyewe kwani lolote anaweza kufanya kwenye kura ake.Tusubiri matokeo uone
Tuache kumuongopea Slaa. Kura ni siri ya mpiga kura mwenyewe kwani lolote anaweza kufanya kwenye kura ake.Tusubiri matokeo uone
Go Dr.Slaa, goooooooooooooooo!