Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Lakini bado mnatumia nguvu ya ziada kukubalika kwenu.Wanachama 38 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Jimbo la Buchosa, wamekihama chama hicho na kujiunga na CCM.
Miongoni mwao yupo aliyekuwa katibu mwenezi wa chama hicho katika Jimbo la Buchosa, Ovu Malagila ambaye ameeleza sababu za kukihama Chadema na kummwagia sifa Rais Samia Suluhu Hassan na Mbunge Eric Shigongo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Malagila na wenzake wamejiunga na CCM kwenye mkutano wa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ally Kawaida aliyekuwa ziarani katika Jimbo la Buchosa.
Source: Global Tv
Hao cdm wanafuasi wangapi? Maana naona kila siku wanahama.Wanachama 38 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Jimbo la Buchosa, wamekihama chama hicho na kujiunga na CCM.
Miongoni mwao yupo aliyekuwa katibu mwenezi wa chama hicho katika Jimbo la Buchosa, Ovu Malagila ambaye ameeleza sababu za kukihama Chadema na kummwagia sifa Rais Samia Suluhu Hassan na Mbunge Eric Shigongo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Malagila na wenzake wamejiunga na CCM kwenye mkutano wa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ally Kawaida aliyekuwa ziarani katika Jimbo la Buchosa.
View attachment 3320500
Source: Global Tv
Mpaka leo watu wanahama na kuhamia vyama?Wanachama 38 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Jimbo la Buchosa, wamekihama chama hicho na kujiunga na CCM.
Miongoni mwao yupo aliyekuwa katibu mwenezi wa chama hicho katika Jimbo la Buchosa, Ovu Malagila ambaye ameeleza sababu za kukihama Chadema na kummwagia sifa Rais Samia Suluhu Hassan na Mbunge Eric Shigongo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Malagila na wenzake wamejiunga na CCM kwenye mkutano wa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ally Kawaida aliyekuwa ziarani katika Jimbo la Buchosa.
View attachment 3320500
Source: Global Tv
Hee 😂chadema chaliiiiiiiiiii
Kama wameshtuka kuwa walikuwa wamepotea njia waache kuhama?Mpaka leo watu wanahama na kuhamia vyama?
DahWanachama 38 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Jimbo la Buchosa, wamekihama chama hicho na kujiunga na CCM.
Miongoni mwao yupo aliyekuwa katibu mwenezi wa chama hicho katika Jimbo la Buchosa, Ovu Malagila ambaye ameeleza sababu za kukihama Chadema na kummwagia sifa Rais Samia Suluhu Hassan na Mbunge Eric Shigongo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Malagila na wenzake wamejiunga na CCM kwenye mkutano wa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ally Kawaida aliyekuwa ziarani katika Jimbo la Buchosa.
View attachment 3320500
Source: Global Tv
Onyesha pia siku walipojiunga chademaWanachama 38 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Jimbo la Buchosa, wamekihama chama hicho na kujiunga na CCM.
Miongoni mwao yupo aliyekuwa katibu mwenezi wa chama hicho katika Jimbo la Buchosa, Ovu Malagila ambaye ameeleza sababu za kukihama Chadema na kummwagia sifa Rais Samia Suluhu Hassan na Mbunge Eric Shigongo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Malagila na wenzake wamejiunga na CCM kwenye mkutano wa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ally Kawaida aliyekuwa ziarani katika Jimbo la Buchosa.
View attachment 3320500
Source: Global Tv
PovuOnyesha pia siku walipojiunga chadema
Kura hao wanachama wanapiga ngapi na wasiowanachama wanapiga ngapiKama wameshtuka kuwa walikuwa wamepotea njia waache kuhama?
TAL anaiua CDM for goodWanachama 38 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Jimbo la Buchosa, wamekihama chama hicho na kujiunga na CCM.