Geita: Wavuvi wawili wafa Maji ziwa Victoria

Geita: Wavuvi wawili wafa Maji ziwa Victoria

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Mkoani Geita Wavuvi wawili yaani James Jonas na Rocky Kamala ambao ni wakazi wa kijiji cha Nyandago kata ya Butundwe mkoani Geita.

Wamefariki dunia huku mmoja akiokolewa baada ya Mtumbwi walio kuwa wakisafiria katika ziwa Victoria kusombwa na kimbunga cha upepo mkali uliyopelekea mtumbwi huo kukosa mwelekeo na kugonga mwamba kisha kuzama
 
Aisee.... kwamba ule upepo wa juzi dar leo ndio umefika mwanza???
 
Back
Top Bottom