makwagejo
JF-Expert Member
- Nov 25, 2019
- 361
- 268
Mh Rais leo yalikuwa maazimisho ya miaka 46 ya CCM, lakini mkoa wa Geita naona una nguvu kubwa sana , binafsi kwa upande wa upizani sioni wa kusimama na chama cha mapinduzi mkoa wa Geita, sina uhakika wa mikoa mingine
Lakini nafikiria kuna mwamba anakuja 2030, kanda ziwa unaweza ikatoa mwingine, huu ni utabiri wangu, naona kuna mtu mkoa wa Geita atafika mbali sana, lakini ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kuwaunganisha watanzania wote kama atapewa nafasi hiyo.