L Leonel Ateba Mbinda JF-Expert Member Joined Feb 20, 2023 Posts 644 Reaction score 2,695 May 10, 2024 #1 Hizi gemu lazima Simba waziwekee mkakati maana Kagera kwao ni wa moto sana, tukifanya mchezo tunaweza kuacha point kagera, geita na Dodoma, hizo mechi ni ngumu sana. Mkakati lazima uwepo
Hizi gemu lazima Simba waziwekee mkakati maana Kagera kwao ni wa moto sana, tukifanya mchezo tunaweza kuacha point kagera, geita na Dodoma, hizo mechi ni ngumu sana. Mkakati lazima uwepo
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 May 10, 2024 #2 Usihofu zote tunachukua point... Niamini mimi Case closed....
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 21,058 Reaction score 36,272 May 10, 2024 #3 Neno mkakati bila shaka wamaanisha ndumba, Simba kwanini mnaamini sana ktk ulozi?
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 May 10, 2024 #4 Aleyn said: Neno mkakati bila shaka wamaanisha ndumba, Simba kwanini mnaamini sana ktk ulozi? Click to expand... WW ndo umewaza ndumba...lililokutoka mdomoni ndo lililoujaza moyo wako...Simba kwa sasa inawezakana
Aleyn said: Neno mkakati bila shaka wamaanisha ndumba, Simba kwanini mnaamini sana ktk ulozi? Click to expand... WW ndo umewaza ndumba...lililokutoka mdomoni ndo lililoujaza moyo wako...Simba kwa sasa inawezakana
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 22,719 Reaction score 40,739 May 10, 2024 #5 Kalpana said: Usihofu zote tunachukua point... Niamini mimi Case closed.... Click to expand... Naona nyie na Azam mnagombania majina ya Pili na Tatu.
Kalpana said: Usihofu zote tunachukua point... Niamini mimi Case closed.... Click to expand... Naona nyie na Azam mnagombania majina ya Pili na Tatu.
adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,732 Reaction score 4,901 May 10, 2024 #6 Dodoma hii hii ya yule mbunge au 😂😂
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 May 10, 2024 #7 Frank Wanjiru said: Naona nyie na Azam mnagombania majina ya Pili na Tatu. Click to expand... Hapana Joyce
Frank Wanjiru said: Naona nyie na Azam mnagombania majina ya Pili na Tatu. Click to expand... Hapana Joyce