SI KWELI Gen. Mkunda, anasema hatoruhusu Utekaji uendelee. Je, amechoka?

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Na watekaji anawajua si awaambie? Simbachawene alisema hayohayo akaondolewa Uwaziri. Naona juhudi zao za kuhonga Mataifa ya Nje zimegonga mwamba.
Tanzania inatoa wapi pesa za kuhonga mataifa mengine?
Sisi ni waungwana sana, hatuna sababu ya kuhonga.
 
CDF wa ovyo huyu pimbi alitakiwa kuwa mgambo au polisi jamii

Kazi kubwa ya jeshi ni kulinda raia na mipaka yake
Wakaua raia wasio na hatia mtaani mpaka majumbani..
Pimbi kabisa hii!
Wananchi hawakujiandaa kwa matokeo ya movement waliyoianzisha. Ile ilikuwa ni vita.
 
CDF wa ovyo huyu pimbi alitakiwa kuwa mgambo au polisi jamii

Kazi kubwa ya jeshi ni kulinda raia na mipaka yake
Wakaua raia wasio na hatia mtaani mpaka majumbani..
Pimbi kabisa hii!
Kijamaa ukikiona uso ni kama kinapiga mkorogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…