ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Alipozaliwa tu alipewa barua kwamba atakuja kuongoza wenziwe? Si amejijua baada ya kuwa mkubwa?My Take
Na πΉπΏ ilitakiwa kusema hakuna Mpinzani Atakuwa Rais bila kupepesa macho.ππ
View: https://www.instagram.com/p/DAOOK_Rqr7u/?igsh=YzQ5eWZoYmVsN2ht
Huyu huo mdomo utamponzaMy Take
Na πΉπΏ ilitakiwa kusema hakuna Mpinzani Atakuwa Rais bila kupepesa macho.ππ
View: https://www.instagram.com/p/DAOOK_Rqr7u/?igsh=YzQ5eWZoYmVsN2ht
Maraisi wote Waliopita wa UG walikua wanajeshi, Tafsiri yake, mrithi wa mseven lazima atokee jeshini.
Nduli Iddi Amin..Milton Obote.
..Prof.Yussuf Kironde Lule.
..Godfrey Binaisa.
..Paul Muwanga??
..sio wanajeshi lakini waliongoza Uganda.
Kwa hiyo ni wahamiaji haramu tu ndiyo watakuwa marais wa Uganda/My Take
Na πΉπΏ ilitakiwa kusema hakuna Mpinzani Atakuwa Rais bila kupepesa macho.ππ
View: https://www.instagram.com/p/DAOOK_Rqr7u/?igsh=YzQ5eWZoYmVsN2ht
My Take