Sasa wanapofanya uharibifu na kuiba mali za watu yanakua maandamano au uporajiKituo cha polisi cha nyegezi kimechomwa moto wandamanaji wapambana vikali na jeshi last polisi ..
Kituo cha mafuta GBP cha shambuliwa na gen-z wamevunja warehouse na kubeba maji na vinywaji musoma Road nyamhongolo near nanenane.
Taifa gas pia yavunjwa na wandamanaji kubeba mitungi ya gesi.
Igoma gen-Z wameziba Barabara ya msoma Road kwa kuwasha matairi ya gari pia wametumia nguzo za umeme na mawe.
Popote pale duniani hata marekani maandamano yanaenda sambamba na uporaji.Sasa wanapofanya uharibifu na kuiba mali za watu yanakua maandamano au uporaji
Naona machafuko makubwa zaidi bada ya tume kumtangaza Sa100 kuwa mshindi!Kituo cha polisi cha nyegezi kimechomwa moto wandamanaji wapambana vikali na jeshi last polisi ..