Nchi ya Kenya imeingia katika changamoto kubwa ya vurugu za Vijana almaarufu Gen Z yaani ni Kizazi jeuri,Hichi kizazi kinahamasisha vurugu na machafuko,wizi na ukabaji.
nadhani ni muda sasa wa serikali kuhamasisha vijana wa kitanzania hili jina lisitumike popote.
Kuna muda hua nawaza hili neno GEN Z limewekwa kimkakati na mataifa fulani alafu liakatengenezewa tafsiri ya ziada kulipa nguvu na vuguvugu la mabadiliko isiyo dhahiri.
Hiyo ndio lugha ambayo watawala weusi wanaielewa. Mtawala mweusi hawezi kubali kuachia goli la kupiga mali za umma kwa maandamano ya amani na kubebewa mabango tu.