Gen Z na Millennials wanaweza kumuweka yoyote Ikulu Legally

Gen Z na Millennials wanaweza kumuweka yoyote Ikulu Legally

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
15,460
Reaction score
24,233
They have the Numbers.....; Ukichukulia generations tofauti na kuziweka katika miaka waliyozaliwa utapata generations zifuatazo
  • The Greatest Generation – born 1901-1927. ...
  • The Silent Generation – born 1928-1945. ...
  • The Baby Boomer Generation – born 1946-1964. ...
  • Generation X – born 1965-1980. ...
  • Millennials – born 1981-1996. ...
  • Generation Z – born 1996-2012. ...
  • Gen Alpha – born 2013 – 2025.
Sasa hapo utaona kwa wingi wao kama watakuwa na agenda fulani zinazowaunganisha wanaweza kumuweka yoyote / Serikali yoyote kwa nguvu ya kura zao, Ushauri wa wanasiasa they need to listen na kuweka manifesto zao kuwalenga hawa..., na sababu wanasiasa wamezoea sound huenda hawa ni vigumu kuvumilia sound...

Anyway ndio maana kuna siku niliuliza....

Sababu kwa macho yangu maybe sio hii generation ila generation inayokuja itakuwa haina ajira zenye ujira wa uhakika wala pension za kuwasaidia uzeeni na hapo usishangae wakija kuchukua chako.....

Kwahio for all our sakes politicians needs to not only listen but to act....
 
Back
Top Bottom