Ulisha wahi kufika Bangladesh wewe!Na matamasha ya mziki singeli yawe mengi zaidi
Kwenye ile clip ya kale kabinti
Kanacho bakwa pembeni kuna mziki wa sahv...
Unaimbwa huyooo mtotooooo
Analilia nini sijui apeweee 😄
Aise nchi inasikitisha,kulea mtoto bongo sahv mtihani
Ova
Hizi hadithi za "amani" mnapenda sana kuzikumbuka mnapoona waTanzania wanakataa ujinga huo wa kutishiwa na amani?Watz Sio wapumbavu kiasi hicho hatuwezi kuvuruga Aman ya nchi yetu Kwa sababu za kipuuzi
Kuwa na subira kidogo mkuu 'mushi'; acha moto ukolee. Hakuna kinachoshindikana. Mbona Bangladesh wameweza!Mhn! Huku kwetu labda hiyo “Z” stands for big fat Zero.
Ni mtihani sana broNa matamasha ya mziki singeli yawe mengi zaidi
Kwenye ile clip ya kale kabinti
Kanacho bakwa pembeni kuna mziki wa sahv...
Unaimbwa huyooo mtotooooo
Analilia nini sijui apeweee 😄
Aise nchi inasikitisha,kulea mtoto bongo sahv mtihani
Ova
Nimefika tu Vietnam chupu chupu niende hukoUlisha wahi kufika Bangladesh wewe!
Siyo peke yako.Huu uzi ndio nauona hapa sasa hivi, sidhani kama hili taifa lina Gen Z kama wale wa Kenya.
Tanzania ya wapi hii?Kutoka katika Vyanzo mbalimbali vya mitandao ya kijamii pamoja na baadhi ya mitaa, joto na vuguvugu la maandamano ya vijana wa kitanzania linaendela, chanzo ikisemekana ni kuchoka na hali ya ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira, kulinda rasilimali za taifa ambazo siku za karibuni zimeonekana kuwa mnadani, matumizi mabaya ya fedha za umma na ziara za viongozi zisizokuwa na tija, pamoja na huduma muhimu kama bima za afya zikiondolewa.
Pia soma: Yanayojiri Maandamano ya Gen Z Kenya
ChatGPT pic iyoKutoka katika Vyanzo mbalimbali vya mitandao ya kijamii pamoja na baadhi ya mitaa, joto na vuguvugu la maandamano ya vijana wa kitanzania linaendela, chanzo ikisemekana ni kuchoka na hali ya ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira, kulinda rasilimali za taifa ambazo siku za karibuni zimeonekana kuwa mnadani, matumizi mabaya ya fedha za umma na ziara za viongozi zisizokuwa na tija, pamoja na huduma muhimu kama bima za afya zikiondolewa.
Pia soma: Yanayojiri Maandamano ya Gen Z Kenya
Maandamano yanaendelea online kupitia keyboards za simu na kompyuta karibuni sana.Hiyo tarehe 5.8.2024 bado haijafika?