Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Bado kwa watekaji.Acha porojo
Nepal wapo mbele ya muda. Mdogo mdogo tutafika huko.Hao ndio wapo serious na nchi yao. Sio kina sisi huku hatuna tofauti na maiti
Waandamanaji kuvamia na kuchoma jengo la bunge jijini Kathmandu. Vijana wengi wamejitokeza mitaani wakisukumwa na hasira dhidi ya ufisadi na kile wanachokiita “nepo kids” watoto wa wakubwa wanaopewa upendeleo serikalini.
Wachambuzi wanasema haya ndiyo machafuko makubwa zaidi kushuhudiwa nchini humo kwa miongo kadhaa, na yaliwaacha Waziri Mkuu mstaafu bila chaguo zaidi ya kung’atuka madarakani.
Mwalimu Nyerere aliisha wahi kuonya viongozi wa kisiasa kufuatia kile alichofanyiwa Rais wa Hungary CheExpect this to happen more often all over the world..., The times have changed, wengi wapo kitaa hawana chochote wakati wachache wanakula na kusaza; ukizingatia wengi hao hata ujira wa kupata mkate wao wa kila siku hakuna.., No Hope...
Ushauri wangu ni uleule hawa watawala wa dunia wajifunze kula na Vipofu....
Mwalimu Nyerere aliisha wahi toa onyo kwa viongozi wa kisiasa kufuatia kile alichofanyiwa Rais wa Romania Nicolae Ceaușescu, baada kuchoshwa na udhulumati wakeExpect this to happen more often all over the world..., The times have changed, wengi wapo kitaa hawana chochote wakati wachache wanakula na kusaza; ukizingatia wengi hao hata ujira wa kupata mkate wao wa kila siku hakuna.., No Hope...
Ushauri wangu ni uleule hawa watawala wa dunia wajifunze kula na Vipofu....