Gen Z wamepotezwa kama Gachagua

Gen Z wamepotezwa kama Gachagua

Kwa namna nginjanginja na mitikasi ya siasa zilivyo, usikute bosi mwenyewe ndiye alikuwa mfadhili wao ili kutafuta kisingizio cha kumtimua msaidizi wake. Just saying.

Ndiyo maana unaposhabikia upepo fulani wa kisiasa, hakikisha unazo sababu za msingi, sekondari na chuo.
 
Back
Top Bottom