Ndivyo mnavyo danganyana huko vilabuni mkishakunywa wanzuki zenu.Inasemekana Mfadhili wa Gen Z alikua Gachagua sasa kapoteza Mamlaka/Cheo. Usitarajie kuwaona Gen Z tena barabarani.
Hili jukwaa linahusu mambo ya Kenya. Unajifanya hujui?😁Hebu tuhangaike na ya kwetu kwanza