Gen Z wanajitekenya wenyewe

Gen Z wanajitekenya wenyewe

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Hawa vijana wamejitekenya wenyewe na kujichekesha wenyewe. Kenya Ina wenyewe (Royal families,
1. Kenyatta,
2. Moi(Ruto) na,
3. Odinga)

Wewe unatoka Kibera/Mathare unataka kuharibu system ya upigaji ya hizi familia, Ni mzaha
 
Hebu jaza nyama kwenye hii pointi yako mkuu, ulitaka kumaanisha nini?!
 
Hawa vijana wamejitekenya wenyewe na kujichekesha wenyewe. Kenya Ina wenyewe (Royal families,
1. Kenyatta,
2. Moi(Ruto) na,
3. Odinga)

Wewe unatoka Kibera/Mathare unataka kuharibu system ya upigaji ya hizi familia, Ni mzaha
Fanya ya kwako wewe chawa. Kimbelembele Cha Nini?
 
Uchawa wa Bongo mnadhani upo Kenya. Nyie hata bajeti yenu hamjui inaongelea nini, kazi kurukia yasiyowahusu.
 
Back
Top Bottom