Gen Z wanapanga maandamano mapya ya Januari 29

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Daa Hawa vijana hawapoi, Baada ya D9 kufeli Gen Z wamefanya analysis na kuchagua siku ya alhamis ya tarehe 29 January 2026 kuwa siku ya maandamano ya kudai haki.

Wamechagua siku ya kazi, huu ni mtego kwa serikali maana maandamano siku ya kazi ni vigumu kuzuia movement za watu.

Na maandamano yanaua uchumi na utalii.

Any way ni J29

Aione
Wambura
Simbachawene.

Mto wa mbu
Illinois-USA
 
No retreat no surrender
 
Achaneni na maandamano siku ya Public holiday.
Wanaosema D25 watafanikiwa.

Kwenye utawala wa Samia wakulima, wachimba madini, maji,wavuvi.. hatutoambulia kitu mpaka damu za watu Mo29 zilipwe.
 
Achaneni na maandamano siku ya Public holiday.
Wanaosema D25 watafanikiwa.

Kwenye utawala wa Samia wakulima, wachimba madini, maji,wavuvi.. hatutoambulia kitu mpaka damu za watu Mo29 zilipwe.
Kazi ipo walaqhi
 
Nyumbu akiwa analiwa na mamba huwa anatapatapa sana hizo ni harakati za nyumbu kukata roho hakuna maandamano yoyote , mkileta unyumbu wenu risasi ambazo hazijatumika jana zitatumika hiyo siku mkileta ujinga wenu nyumbu nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…