Gen Z wanapanga maandamano mapya ya Januari 29

Wewe mwenyewe uko illnois marekani..unawaambia watu watoke uko ulaya huko kwenye fursa ila unawaambia vijana maskin watoke waandamane...nlijua hata unnawapa mchongo wa kuingia marekani ...
 
Kiwake nini nyie kunguni si mtapatiwa dawa fasta.
Waandamanaji wengine wametulia we uko hapa na kelele zako.wanakuja kupangusa huko na ukae kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…