Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Asipotafuta hizo pesa wewe maisha yako yataathirika vipi.YOU ARE WASTING YOUR PRECIOUS TIME..
UKIJA KUSHTUKA UMEKALISHWA TU KIBARAZANI HUNA NGUVU NI MZEE TAYARI.....HUU MUDA NA HIZI NGUVU MNGEZITUMIA KUTAFUTA PESA
😋😋😋!😂😂😂😂😂
Yaani nitafute michongo wakati serikali ipo! By the way America is the land of opportunityWewe mwenyewe uko illnois marekani..unawaambia watu watoke uko ulaya huko kwenye fursa ila unawaambia vijana maskin watoke waandamane...nlijua hata unnawapa mchongo wa kuingia marekani ...
Babu zako waliwaambia upuuzi huuhuu vijana walioweka nguvu zao zote katika kupigania HAKI kwa ajili ya raia wa bara la Afrika?!YOU ARE WASTING YOUR PRECIOUS TIME..
UKIJA KUSHTUKA UMEKALISHWA TU KIBARAZANI HUNA NGUVU NI MZEE TAYARI.....HUU MUDA NA HIZI NGUVU MNGEZITUMIA KUTAFUTA PESA
Welcome Illinois-USA under Governor J.B PritzikerKiwake nini nyie kunguni si mtapatiwa dawa fasta.
Waandamanaji wengine wametulia we uko hapa na kelele zako.wanakuja kupangusa huko na ukae kimya.
Asante sana vijana. Machawa na mafisi yote sasa yanasherehekea yasijue huu ndiyo mwanzo. Kkkkk.
Kaziupuuzi tu uvivu wa kufanya kazi tu
Nyumbu akiwa analiwa na mamba huwa anatapatapa sana hizo ni harakati za nyumbu kukata roho hakuna maandamano yoyote , mkileta unyumbu wenu risasi ambazo hazijatumika jana zitatumika hiyo siku mkileta ujinga wenu nyumbu nyie
Yani anapotosha kishenzi please futa hio tareheeePropaganda. Maandamano yanaendelea.
Kaka futa hii unapotosha vijana wapo busy ground saiv kilele ni D25.Kazi
Mnakuwa machawa hadi bosi ananuna.
yes dadaZack umetoka X umehamia jamiiforums
Ili wadai haki zao zilizoporwa na maCCM na serikali dhalimu ya Nduli SASHA. Hata Nyerere alipowasapoti wapigania uhuru wa kusini mwa Afrika, hakwenda yeye front line. Wala Jana hujamwona Samia na mawaziri wake wakipiga doria barabarani. Hivyo kuwa na akili hata ya kuvukia barabara ebo!Wewe mwenyewe uko illnois marekani..unawaambia watu watoke uko ulaya huko kwenye fursa ila unawaambia vijana maskin watoke waandamane...nlijua hata unnawapa mchongo wa kuingia marekani ...
Unaona Sasa ulivyo mpumbavu. Wewe uko marekani unawaambia vijana maskin humu waandamane..njoo toka huko marekani uje ukae frontiYaani nitafute michongo wakati serikali ipo! By the way America is the land of opportunity