Gen Z wanapanga maandamano mapya ya Januari 29

Endelea kusubiri hio Haki ..sawa..wanaona na familia yako itakula hio haki
 
Hivi mnaposema Gen Z hawapoi wamepanga moja mbili tatu, huwa mnapata wapi taarifa zao? Nani kiongozi wao? Wapi uliwasikia? Mbona mnapenda kuwapaka matope hao mnaowaita GenZ ?
 
Reactions: Tui
Kaka futa hii unapotosha vijana wapo busy ground saiv kilele ni D25.
Unashusha morale
D25 unajijua Christmas??? Nani atatoka ?? Huoni mtaleta shida Hadi Kwa kanisa katoriki

Mie nimeichukua Kwa vijana kuwa ni J29
 
Umelijibu vizuri
 
Hivi mnaposema Gen Z hawapoi wamepanga moja mbili tatu, huwa mnapata wapi taarifa zao? Nani kiongozi wao? Wapi uliwasikia? Mbona mnapenda kuwapaka matope hao mnaowaita GenZ ?
Relax
 
MO29 mlibeza hivyooo hivyo🤣
Unacheka na watu walikufa...kwamba mnataka watu waendelee kufa kama kuku...******* nyie....mnajua tumezika watu wangapi ..ndugu zetu wangapi...mikundu nyie
 
Unacheka na watu walikufa...kwamba mnataka watu waendelee kufa kama kuku...******* nyie....mnajua tumezika watu wangapi ..ndugu zetu wangapi...mikundu nyie
Kunywa maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…