hiyo ni nonsense kabisaDaa Hawa vijana hawapoi, Baada ya D9 kufeli Gen Z wamefanya analysis na kuchagua siku ya alhamis ya tarehe 29 January 2026 kuwa siku ya maandamano ya kudai haki.
Wamechagua siku ya kazi, huu ni mtego kwa serikali maana maandamano siku ya kazi ni vigumu kuzuia movement za watu.
Na maandamano yanaua uchumi na utalii.
Any way ni J29
Aione
Wambura
Simbachawene.
Mto wa mbu
Illinois-USA
Mambo si shwariMangi vipi?
Labda hana dagaa wakulaππππNaona siku hizi unapinga Maandamano.
What's wrong with you? π.
Mbona Kila siku nnunulia.Labda hana dagaa wakulaππππ
Nakunywa kwa raha zangu ...hapa nachanganyia na whiskey...nyonnyo nyo maandamano. ...unikalishe juani wewe uko illnois mamaeh...Kunywa maji
Hapo US watu wanakuja likizo sana tu, na usikute unakaa kwenye darajaWelcome Illinois-USA under Governor J.B Pritziker
Acha iwe hivyo kama mbumbumbu wetu hawakusikia au hata kuelewa hoja zilizotupeleka kwenye machafuko yaliyopita hivi karibuni!Daa Hawa vijana hawapoi, Baada ya D9 kufeli Gen Z wamefanya analysis na kuchagua siku ya alhamis ya tarehe 29 January 2026 kuwa siku ya maandamano ya kudai haki.
Wamechagua siku ya kazi, huu ni mtego kwa serikali maana maandamano siku ya kazi ni vigumu kuzuia movement za watu.
Na maandamano yanaua uchumi na utalii.
Any way ni J29
Aione
Wambura
Simbachawene.
Mto wa mbu
Illinois-USA
Acha kiwakeNingeshauri vijana wawe na intelligence yao, iitwe Tanganyika Gen-z Intelligence(TGI)
Mambo si shwari
WanakujaNjooni muda wowote aisee achaneni na kutangaza tarehe kama mnaingia period, aisee,nyie ni vibaka tu tunawasubiri kwa hamu sana hivo vijambio vyenu.!!!
Usitake kuvuruga amaniKwanini Mshahara hauingii?
Usilete taharukiπππππUsitake kuvuruga amani
Usiwapangie watakuja wanavojisikia ππ»Njooni muda wowote aisee achaneni na kutangaza tarehe kama mnaingia period, aisee,nyie ni vibaka tu tunawasubiri kwa hamu sana hivo vijambio vyenu.!!!