Kijana kabla ya kuandamana waza mambo yafuatayo
Una familia yako
unaweza kuuliwa
unaweza kupewa ulemavu
Unaweza kupewa kesi ya ugaidi na ukafungwa kifungo cha maisha jela au kunyongwa
VUMILIA KUWA NA SUBRA HAKUNA KIONGOZI ANAKAA MADARAKANI MILELE , IKIWA HAUMPENDI KIONGOZI SUBIRI MUDA WAKE UTAFIKA ATATOKA NA SIO KUTUMIA MAANDAMANO AMBAYO NIMEKUWEKEA MADHARA YAKE
KWA PAMOJA TUNASEMA VIJANA TULINDE UHAI WETU NA TUKATAE VURUGU KWAKUWA HAKUNA MTU WA KUULINDA UHAI WETU ZAIDI YETU
Kiongozi kwa uchaguzi upi , hao waliopatikana kwa msaada wa tume na dola unatawala watu ambao hawakukuchagua na wewe inajiita kiongozi wao kwa uhalali upi .Kijana kabla ya kuandamana waza mambo yafuatayo
Una familia yako
unaweza kuuliwa
unaweza kupewa ulemavu
Unaweza kupewa kesi ya ugaidi na ukafungwa kifungo cha maisha jela au kunyongwa
VUMILIA KUWA NA SUBRA HAKUNA KIONGOZI ANAKAA MADARAKANI MILELE , IKIWA HAUMPENDI KIONGOZI SUBIRI MUDA WAKE UTAFIKA ATATOKA NA SIO KUTUMIA MAANDAMANO AMBAYO NIMEKUWEKEA MADHARA YAKE
KWA PAMOJA TUNASEMA VIJANA TULINDE UHAI WETU NA TUKATAE VURUGU KWAKUWA HAKUNA MTU WA KUULINDA UHAI WETU ZAIDI YETU
Hii nchi siyo ya Roma, Roma ina nguvu Vatican siyo hapa.Roma causa, roma finita, ogopa sana nguvu za roma, jifanye kushupaza shingo utatembea kwa magoti mpaka vatican ukaombe msamaha
Sasa utashindana na TEC? Wale ni wasomi watupu wa kiwango cha juu cha elimu, hakuna ngumbaru pale, sio kama wale masheikh ubwabwa wanaopayuka hovyo kutishia amani ya nchi.
Tunawapa pongezi Elimu zao ziwasaidie kwenye kuta nne za kanisa lao, huku nje kuna watu wana mamlaka nako.Sasa utashindana na TEC? Wale ni wasomi watupu wa kiwango cha juu cha elimu, hakuna ngumbaru pale, sio kama wale masheikh ubwabwa wanaopayuka hovyo kutishia amani ya nchi.
ndio huko nje kuna watu wana mamlaka, sasa mbona hao wenye mamlaka wa nje wanabanwa mbavu? Watafanyaje na kulifuta kanisa katoliki ni ngumu, hao sio kama kina gwajima unaweza kuwafuta muda wowote ukitaka na wakafutika! Pale roma ni mziki mnene vumilieni tu mpigwe knock out za usoTunawapa pongezi Elimu zao ziwasaidie kwenye kuta nne za kanisa lao, huku nje kuna watu wana mamlaka nako.

Moderator na Maxence Melo hii ni alert na haina uhusiano na uzi huu tafadhali.Kikundi hicho kitachoma makanisa ya wakatoliki na kusingizia kuwa ni waandamanaji.
Tafadhali taarifa hii iwafikie watu wote including jumuiya za kimataifa.
Huyu mwana haramu afukuzwe maramoja vinginevyo anaua hii nchi.
Nawewe CDF upo tu na unajua?
wahamasishaji mliwaingia watanzania wenzetu kingiAchaneni na maandamano siku ya Public holiday.
Wanaosema D25 watafanikiwa.
Kwenye utawala wa Samia wakulima, wachimba madini, maji,wavuvi.. hatutoambulia kitu mpaka damu za watu Mo29 zilipwe.
vijana maarufu na wanaharakati ndo huwa wanatoa hizo tarehe,,,, kwa kilichotokea nadhani maandamano ya kuitisha serikali yamekufa rasmi au tunaweza sema yamepata likizo ya kudumu atleast mpaka 2030Hivi mijadala yao wanaifanyiaga wapi hawa madogo?
watu wanaharakati wamewaingiza watu kingi, alafu ndo wapo mstari wa mbele kuwalilia, kwa sasa kila mwananchi kashastuka hizi mambo ni miradi ya watuHamna huo ubavu ,kila kipigo hata chizi haweza kurudia kosa.
mkuu hivi zile screenshot za text kwamba zimetoka jeshini mlikua mnatoa wapi, maana kilicbotokea ni tofauti sana na kilichosemwa, mliwaingiza watu chaka kwa makusudi?Hapo umeshangaa nini? Hata huko Jeshini kuna wapuuzi pia kama wewe ,watu wajinga wajinga ambao kwao 'Tonge la Ugali ' linathamani kuliko HAKI NA UHURU WAO
Hata hivo, Wako pia Wanajeshi Wema ,na ndio walitusaidia Kupambana.
Vifo vya Mapolisi na Wanajeshi vingi vilivyoyokea, Ilikuaje???.