johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mtandao ๐ผKiongozi wao nan
Mhuuuu...viongozi wameshindwa kuzima hiyo mitandao?Mtandao ๐ผ
Walijaribu haijazimikaMhuuuu...viongozi wameshindwa kuzima hiyo mitandao?
Mhuuuuuu ,,, they are not serious...yani kuharibu tu mtu ashindwe.Walijaribu haijazimika
Si rahisi kama unavyodhaniMhuuuu...viongozi wameshindwa kuzima hiyo mitandao?
Yesu alianza kutenda maajabu akiwa na miaka 12 tu ๐ผIfike mahala kuwe na kiongozi,Kenya nimakambale hata vidogo vinasharubu.Ruto kawahumble sana! Nikweli Tz kunaukilitimba na kutishana lakini kunahaja ya kusikiliza uongozi. western Democracy is not applicable to Africans.
๐ถYesu alianza kutenda maajabu akiwa na miaka 12 tu ๐ผ
Unafikiri Kenya Ni Kama hayo mapupu yako!?๐๐Mhuuuu...viongozi wameshindwa kuzima hiyo mitandao?
Ruto aliingizwa mtegoni na akajaa,,,,na ajiangalie anaweza akawa ndo kafara ya wakubwaIfike mahala kuwe na kiongozi,Kenya nimakambale hata vidogo vinasharubu.Ruto kawahumble sana! Nikweli Tz kunaukilitimba na kutishana lakini kunahaja ya kusikiliza uongozi. western Democracy is not applicable to Africans.
Ni sahihi kawachekea sana. Anashindwa kuwaweka kwenye viroba hao viongozi wao. Kashindwa kuchomeka hata watu wa usalama wafuatilie na kujua viongozi wa hao vijana.Ifike mahala kuwe na kiongozi,Kenya nimakambale hata vidogo vinasharubu.Ruto kawahumble sana! Nikweli Tz kunaukilitimba na kutishana lakini kunahaja ya kusikiliza uongozi. western Democracy is not applicable to Africans.