Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Unaelewa maana ya Gen Z? Au unafikiri GZ ni MTU anayeweza kusema Jambo? Ebu taja hao GZ wa wapi maana dunia hicho kizazi kipo kila mahali duniani.Hii nchi sijui kama itapoa. Kufatia serikali katili ya CCM kuua watanganyika zaidi ya 3000 na kuwazika kwenye kaburi la halaiki, na kuacha mamia ya vijana wakiwa na ulemavu wa kudumu. Mambo hayajaisha
Gen Z wamesema kisasi lazima kilipwe, Gen Z wametangaza maandamano makubwa nchi nzima haijapata kutokea. Ni tarehe 29/10/2026. Ni katika kuwakumbuka ndugu zao waliouawa mwaka mmoja uliopita.
Gen Z watatumia maandamano ayo kumfata Lissu gerezani, vijana Wana hasira, wamesema liwalo na liwe.
Tukutane 29/10/2026.
Aione
CiC
Mto wa mbu
Illinois-USA
Sipo darasani kufundisha vibaka , coz MO29 walitoka Gen Z wengine mlificha kende ndaniUnaelewa maana ya Gen Z? Au unafikiri GZ ni MTU anayeweza kusema Jambo? Ebu taja hao GZ wa wapi maana dunia hicho kizazi kipo kila mahali duniani.
Acha kiwakeTaharuki.
We unajulikana ni mpumbavu wa muda wote! Hao unaowaita Gen-Z ulikutana nao wapi, ila kumbuka hii siyo Kenya huo upumbavu uko Kenya. Hakuna kima awe GenZ au kizazi kingine chochote kitatoa makalio yakeHii nchi sijui kama itapoa. Kufatia serikali katili ya CCM kuua watanganyika zaidi ya 3000 na kuwazika kwenye kaburi la halaiki, na kuacha mamia ya vijana wakiwa na ulemavu wa kudumu. Mambo hayajaisha
Gen Z wamesema kisasi lazima kilipwe, Gen Z wametangaza maandamano makubwa nchi nzima haijapata kutokea. Ni tarehe 29/10/2026. Ni katika kuwakumbuka ndugu zao waliouawa mwaka mmoja uliopita.
Gen Z watatumia maandamano ayo kumfata Lissu gerezani, vijana Wana hasira, wamesema liwalo na liwe.
Tukutane 29/10/2026.
Aione
CiC
Mto wa mbu
Illinois-USA
Pole sana, ata MO29, mlisema hivyo hivyo, ila mkashuhudia vijana wanakiwasha hatari, MO29 ilimaliza kabisa legitimacy ya Samia, ata kwenda huko Kenya anaogopa, hapa USA ndo kabisa hakanyagi tena.We unajulikana ni mpumbavu wa muda wote! Hao unaowaita Gen-Z ulikutana nao wapi, ila kumbuka hii siyo Kenya huo upumbavu uko Kenya. Hakuna kima awe GenZ au kizazi kingine chochote kitatoa makalio yake
Naona mmemiss kondo- hahahAcha kiwake
Majibu yalionekana both sides hadi vibaka wanaogopa kusafiri kwenda ata Kenya, nchi imegota coz of MO29Haha waje tena.
Uzuri kila mtu aliona majibu yake.
Mlikiwasha sheli?Pole sana, ata MO29, mlisema hivyo hivyo, ila mkashuhudia vijana wanakiwasha hatari, MO29 ilimaliza kabisa legitimacy ya Samia, ata kwenda huko Kenya anaogopa, hapa USA ndo kabisa hakanyagi tena.
MO29 ilifundisha vibaka somo kubwa
Who cares??Naona mmemiss kondo- hahah
Umesema kweli kabisa Mo29 ilifundisha vibaka somo kubwa..Pole sana, ata MO29, mlisema hivyo hivyo, ila mkashuhudia vijana wanakiwasha hatari, MO29 ilimaliza kabisa legitimacy ya Samia, ata kwenda huko Kenya anaogopa, hapa USA ndo kabisa hakanyagi tena.
MO29 ilifundisha vibaka somo kubwa
Amkaa katafute ugali dogo.Majibu yalionekana both sides hadi vibaka wanaogopa kusafiri kwenda ata Kenya, nchi imegota coz of MO29
Nyumba ya Wasira alipigwa kiberiti,, sahivi Samia ameisha ameisha kabisa coz of MO29Mlikiwasha sheli?
haha Yaan uchome biashara za watu ujione mjanja?
Kuna kiongozi hata mmoja alipata jeraha?
acheni uzuzu mnadanganya vijana huku mmejificha mitandaoni.
Jaribu sio laazima october ifike.Who cares??
Upepo tena? We unajua my income au ukilipwa 5m Tsh unadhani ni hela hapa US hiyo ni hela ya kununua MalayaAmkaa katafute ugali dogo.
Mnajazana upepo wa kishamba sana☺️
Au sio Capteni Tesha😅
alafu vijana wangap walitangulia?Nyumba ya Wasira alipigwa kiberiti,, sahivi Samia ameisha ameisha kabisa coz of MO29
Si utulie sasa mbona unawashwa washwaJaribu sio laazima october ifike.
marekani?Upepo tena? We unajua my income au ukilipwa 5m Tsh unadhani ni hela hapa US hiyo ni hela ya kununua Malaya
Samia mwenyewe anakubali MO29 ilimtikisa vibaya sana, na hato heal forever