Gen Z watapotezwa kama MRC na Mashehe wa pwani

Gen Z watapotezwa kama MRC na Mashehe wa pwani

Gen Z watapotezwa na deep state kama walivyopotezwa Viongozi wa MRC (Mombasa) na Mashehe walikua wanashabikia Ugaidi
Times of changed, vizazi vimebadilika, kama walikuwa succesful enzi hizo, enzi hizi ni another generation

Waliwapeleka shule, wakawapa elimu quality , wakawafundisha haki zao ni zipi, today wasishangae
 
Ruto kasema yuko tayari kuzungumza nao. Hapo ndio pa kuwajua vinara wao na ndio wanaweza wakapotezwa ikiwa wataonekana ni tishio kwa usalama wa nchi. Ila hawa huwezi kuwalinganisha MRC na wale masheikh wa pwani, hawa walitaka kuteteresha amani na usalama wa kenya kwa kuleta mambo yao ya dini na kuunda ukanda wao wa pwani uongozwe kwa misingi ya dini yao. Gen Z wao ni wa kitaifa na wana elementi za kisiasa, ni hatari wakichukuliwa poa wanaweza wakapindua serikali
 
Ruto kasema yuko tayari kuzungumza nao. Hapo ndio pa kuwajua vinara wao na ndio wanaweza wakapotezwa ikiwa wataonekana ni tishio kwa usalama wa nchi. Ila hawa huwezi kuwalinganisha na MRC na wale masheikh wa pwani, hawa walitaka kuteteresha amani na usalama wa kenya kwa kuleta mambo yao ya dini na kuunda ukanda wao wa pwani uongozwe kwa misingi ya dini yao. Gen Z wao ni wa kitaifa na wana elementi za kisiasa, ni hatari wakichukuliwa poa wanaweza wakapindua serikali
 
Ruto kasema yuko tayari kuzungumza nao. Hapo ndio pa kuwajua vinara wao na ndio wanaweza wakapotezwa ikiwa wataonekana ni tishio kwa usalama wa nchi. Ila hawa huwezi kuwalinganisha MRC na wale masheikh wa pwani, hawa walitaka kuteteresha amani na usalama wa kenya kwa kuleta mambo yao ya dini na kuunda ukanda wao wa pwani uongozwe kwa misingi ya dini yao. Gen Z wao ni wa kitaifa na wana elementi za kisiasa, ni hatari wakichukuliwa poa wanaweza wakapindua serikali
Safi sana. Wabainishwe na wapate haki yao
 
Hiyo ni Generation sasa utapoteza Generation nzima? Make ukianza kuwapoteza baadhi yao then wanaibua kubwa zaidi na kukuondoa kabisa madarakani. Unawaza ki standard 2B, kama Odinga alimsumbua Moi kwenye Generation hiyo lakini yupo hadi leo.
Generation Z siyo wajinga kama wewe
 
Back
Top Bottom