MIRA01
JF-Expert Member
- Sep 18, 2023
- 319
- 695
Nimeona watanzania. Wengi wakilaumu kwamba kwanini sisi sio kama wakenya wenye ujadiri wakupinga waziwazi serikali yako barabarani? Na wengine wameenda mbele wanasema kwanini sisi mazuzu kias hiki na hatuwezi kuandamana. Wala kulaumu chochote kama. Ilivyo kwa wakenya?
Ngoja nikutoe wasi wasi mtanzania mwenzangu kwamba INAWEZEKANA! Lakini haitokei out of blue(haiji kirahisi)
Kwenye mpango wa jambo kubwa kama hilo linaloweza kuitikisa serikali iliyopo madarakani ni mpango wa muda mrefu, kwenye huu mpango inahusishwa na watu wengi wenye nguvu ya ushawishi na pesa.
Sasa. Wacha nikusaue kwa kenya ilikuwaje! Mpango wa kuwabadilisha wakenya ili wasiwe waoga tena kwa. Serikali yao ulianza mwaka 2018-19 kipindi cha covid ipo barabaran hiki kipindi dunia nzima kilikuwa ni social dilemma watu wengi duniani walishinda mitandaoni, hapo unanafasi ya kusikilizwa mtandaoni kuliko kawaida.
Mpango ukasukwa haswa kwa watumiaji wa smartphone kwa muda mrefu (kundi la Gen Z linaongoza kushinda mtandaoni) sasa. Zikasukwa agenda za kutokuwa naa uwaga kwao zikaene mitandaoni, hii unaweza ukaniuliza ikoje, iko hvi content creator (watunga maudhui) wote wanatengeneza content zinazo pendwa zaidi. Kiuhalisia mwanadamu hana anachochagua anachaguliwa kila kitu (hi nitaeleza baadaye) iko hivi the more you feed your brain ndivyo hivyo utakuwa .. mfano kuna. Jamaa alikuwa ananiambia nyimbo ya diamond ikitoka inakuwa mbaya lkn ukizid kuisikiliza. Inakuwa nzuri why?? Wana feed ubongo wako hauwez kuchagua tena. Kwa. Kuirudia rudia content hile hile sasa, kwa. Kenya mchezo ukawa hivyo.
Wakajitokeza wadhamini tena kwa. Maslahi yao kufund mzigo wa. Kutosha mtandao boom wakaanza kuelewa kilichobaki ni kuingia barabarani sasa, guess what? Wamefanya majaribio mengi sana ili watu wazoee na serikal izoee na wakazoea wakaona ni kawaida na mapaka sasa iko hvyo.
Rudi kwetu sasaa. Nyie mnamdharau sana Nape lakin nape anauelewa sanna huu mchezo na ndio master mind kwa sasa kuzui machafuko yasitokee kwa kwetu, iko hvi tangu mother aingie state house na kipindi cha mzee kumekuwa na sheria nyingi sana za mtandao mixer na mafaini, kufungia channel za watu na kila kitu nia tu kuingiza uoga zaidi kwa watz
Mara gharamaa za bando kuwa juu zaidi yani kifurush cha mwezi unatumia wiki tuh na cha wiki unatumia masaa ma 3 unashukuru Mungu unazani ni kawaida ?? Wanajua wakukuruhusu ukae ssana mtandaoni imekula kwao.
Ila najua hawato bana muda wote hizo agenda zitapita tuh from NGO
Yule jamaa wa chadema hawez kuwasaidia Gen Z maana naye anakulaga posho na. Wakubwa zake
Leo wacha niishie hapa kidogo.