gender and development

gender and development

nurumohamed

Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
8
Reaction score
0
hivi kwa wale wanaosoma gender and development wakimaliza watafanya kazi gani?
 
Duh!huo mwandko mpaka mtu auelewe,inabidi ale gunia la karoti.
 
Wanaweza kufanya kazi za maendeleo ya jamii, kwenye mashirika yanayo fanya empowerment.

NB: kumbuka wizara ya maendeleo ya jamii jinsia na watoto ina wahusu sana.
 
Back
Top Bottom