General Certificate in Engineering (GCE)

General Certificate in Engineering (GCE)

Ligogoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2010
Posts
3,503
Reaction score
6,415
Habari wana JF?

Kuna hii course ilikuwa inaitwa General Certificate in Engineering (GCE), ilikuwa inatolewa DIT!!! Ilikuwa sifa za kuiingia hii course ni kwa yeyote aliyemaliza darasa la saba, then ukimaliza hii coz ulikuwa unaweza kujiendeleza zaidi kwa kuingia FTC na n.k.

Kuna vijana nataka wajiendeleze na wana vipaji vya ufundi nimeicheki kwenye web yao sijaiona hii course kabisa , kwa anayejua lolote kuhusu hii course imefutwa au bado ipo!!! Na kama imefutwa siku hizi kuna course gani tena ya kuwaendeleza vijana wetu pale DIT?!!!

Msaada taarifa jamani!!
 
Back
Top Bottom