Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
General Commercial Company ni aina ya kampuni ambayo husajiliwa kwa minajili ya kufanya shughuli yoyote ile halali ya kuweza kukuingizia PESA, iwe kuwekeza, kukopa, kukopesha, kuzalisha, kuuza, kununua etc.
Kwa kawaida unachotakiwa ni kuhakikisha kwamba unachofanya ni halali na unakifanya kwa mujibu wa sheria. Mara nyingi aina hii ya kampuni inakuwa kama kampuni nyingine tu ila inependeza ikitumika kama Holding Company.
Mfano Unaweza anzisha andoza Holding ambayo inakuwa ndo kampuni Mama ambayo sasa inakuwa ina subsidiaries mbalimbali ambazozinafanya shughuli tofauti ila Andoza Holding anashughulikia zaiia maswala ya Kodi na Fedha za subsidies.
Hizi subsidies zinaweza kuwa ni Business names au LLC kwa kutegemea aina ya biashara na zinaweza kuwa ni Partnership.
Faida yake utaiona katika issues za kodi, efficiency gharama etc.
Je, umewahi kumiliki au kuendesha General Commercial Company? Zipi ni Faida na hasara zake?Tujadili hapa kwa pamoja ili tuendelee kujifunza