General Director wa WHO anatarajiwa kuja nchini wiki ijayo

General Director wa WHO anatarajiwa kuja nchini wiki ijayo

Maturo

Member
Joined
Aug 12, 2009
Posts
6
Reaction score
0
Hi members of Jamii Forum! I hope every body is fine. wiki ijayo tunatazamia kuwa na ugeni mkubwa kutoka WHO, ni Mkurugenzi mkuu, ni mama huyu Magret Chan, ambaye atatembelea Ifakara Health Institute na maeneo mengine ya nchi ikiwemo zanzibar. Mnaonaje Ujio wa huyu mama ambaye ni Daktari?
 
Je kwa nini aende Ifakara?? Umuhimu wake Tz nini upi?

Al Baradei wa IAEA naye alikuwepo Tz nikadhani basi mazungumzo ya kutupatia utaalamu kuvuna Nyulkia ili kuondoa mgawo wa umeme yangeanza lakini wapi!
 
Back
Top Bottom