MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Jenerali MASUNZU, siku za nyuma alipewa uongozi wa kanda ya 3 ya kijeshi, ambayo inaundwa na mikoa ifuatayo: Kivu Kaskazini, Kivu kusini, Ituri, Haut-Uélé na Tshopo, amesalimika baada ya kuundiwa kikundi cha watoto wa simba na M23. Ambush hiyo, iliondoka na walinzi wake, huku yeye akijeruhiwa. Na mpaka sasa, amepelekwa mjini Uvira kwa matibabu zaidi, huku lengo likiwa hali yake ikizidi kuwa mbaya, apelekwe Bujumbura, ampapo kuna uwanja wa ndege kwa ajili ya safari ya Kinshasa.
Taarifa zinazosambaa ni kwamba ameshauliwa, ila uhakika ni kwamba bado anapumua.
Huy Masunzu, ni jamii ya watutsi wa Congo huko, na alipewa jukumu la kuhakikisha M23 inapoteza maeneo yote iliyojinyakulia.
Updates zote mtapewa hapa hapa.