green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Iran karudisha Mapigo baada ya kupewa Go Ahead ya Uchina na Urusi.Israeli asipojibu nitamdarau.ngoja tusubiri.
Sidhani kama atajibu maana alitaarifiwa kwamba tutakupiga ili ajiande na alijiandaa vya kutosha akisaidiwa na mataifa yenye nguvu za kijeshi duniani lakini wanaume wamepiga tageti zao. Kaka hicho kitu kimewatisha sanaIsraeli asipojibu nitamdarau.ngoja tusubiri.
🇮🇱🇮🇷 Over 20 missile hits on Israeli army bases were recorded on video. The damage is unknown for now.Iran karudisha Mapigo baada ya kupewa Go Ahead ya Uchina na Urusi.
Marekan hahitaj vita kubwa mashariki ya Kati wakati huo huo Ukraine.
Ngoja TUONE, kivyovyote vile Mrusi hawez ruhusu Iran aanguke au mchina aruhusu Hilo kitu.
WW3? Hapana bado.
Haijaanza hata kuchongwa mkuu,au ulishaona matangazo ya tenda!?Jamani. Meza ya mazungumzo si ipo. Wakae wayamalize.
Iran muoga sana na anatukosea sana alitakiwa ashambulie ghafla bila kutoa taarifa kama Israel alivyoshambulia ubalozi wakeBREAKING
Iran's General Salami:
"We want to create a new equation: from now on, any Israeli attack against Iranian assets, interests, personalities anywhere on the planet will be met with a massive direct attack on Israeli terrorist regime."
Wenzako na baadhi ya vijana wadogo wa JF wasiojua madhara wanaomba mzuko zaidi wa vita 😁!.Jamani. Meza ya mazungumzo si ipo. Wakae wayamalize.
Hawezi jibu jana kule Jordan nchi nyingi za kiarabu zilikuwa zinamsaidia Israel kuangusha hizo missiles na drone.Israeli asipojibu nitamdarau.ngoja tusubiri.
Wababe hukupa taarifa kwamba ntakuja kukudunda kwako,na wanakujaIran muoga sana na anatukosea sana alitakiwa ashambulie ghafla bila kutoa taarifa kama Israel alivyoshambulia ubalozi wake
Daah nimecheka sana sijui Israel alifikiri anapigana na Hamas ambao kupata siraha ni ngumu kwa hawa vita itasimama kafanya kosa kubwa sana kuwachokoza Waajemi hata kama USA alimtuma...Wababe hukupa taarifa kwamba ntakuja kukudunda kwako,na wanakuja