General Studies itakuwa na penati mwaka huu? maana haijaoneshwa katika waraka mpya

General Studies itakuwa na penati mwaka huu? maana haijaoneshwa katika waraka mpya

Msulibasi

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,947
Reaction score
7,939
Somo la General Studies katika kidato cha sita si sehemu ya combination. Waraka mpya wa matokeo kwa GPA hauoneshi kama somo hili litajumuishwa katika kukokotoa matokeo ya mwanafunzi wala haioneshi kama kutakuwa na penati kwa watakaofeli. Sasa umuhimu wake upo wapi? Je wanafunzi watasoma hili somo?
 
Back
Top Bottom