Wakuu, nipo kwenye mchakato wa kuchimba kisima cha maji ambapo sehemu husika hakuna umeme. Nataka mara uchimbaji utakapokamilika ninunue pampu itakayonisaidia kuvuta maji kutoka kisimani na kupandisha kwenye simtank, kwa ajili ya irrigation.
Mwenye uelewa wa bei na aina zake atiririke ili niweze kufanya maamuzi likiwemo suala la how much money is needed for the project
Ukubwa wa shamba ni ekari 15
Mwenye uelewa wa bei na aina zake atiririke ili niweze kufanya maamuzi likiwemo suala la how much money is needed for the project
Ukubwa wa shamba ni ekari 15